Trending Now

Huu Ndio wimbo original wa iyanya ambao rmx kafanya na diamond

Huu Ndio wimbo original wa iyanya  ambao rmx kafanya na Diamond  platnumz  lakin watu wengi wametumiwa na kudownloads katika  blogs mbalimbali huku wakidai huu ndio wimbo wa Diamond na P square  lah Si Hivyo wimbo huo ni wa Iyanya alifanya na Diamond wakati alipokujaTanzaniaPia wimbo huo upo kwenye album ya iyanya inaitwa DESIRE  unaitwa marry me download hapo kisha fananinsha nyimbo hizo
http://old.hulkshare.com/dl/pc8fddpfh24g/Iyanya_Marry_Me%28DJNSAJIGWA%29.mp3?d=1

Iyanya Marry Me


                
                                                           Diamond Ft Iyanya Nakupenda
                                                            
http://old.hulkshare.com/dl/rf9f7ozkvqio/Diamond_ft_iyanya_-_nakupenda?d=1

No comments:

Powered by Blogger.